jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,969
- 1,393
jamani nina stress naona sasa zinakonipeleka siko ..hadi kichwa kinaniuma,nashidwa hata kulala vya kutosha nakuwa naweweseka nikilaa ..shida kubwa ninakuwa na mambo mengi ya kufanya kwa mda mfupi..kazini,family,madeni ninayodai silipwi,biashara haiendi,kuna jamaa zangu natakiwa niwasaidie na kwenyewe kumekwama zaidi ya kupokea lawama tu....kila ninachokipanga haikiendi,nifanyeje wandugu niishi maisha ya furaha!