natumia simu hapa, hvyo sitoweza kukuwekea link yenye maelezo na software flaniflani hivi za ku-unlock. Embu jaribu kutafuta kwa kutumia JF search box, andika "UNLOCK VODACOM HUAWEI E 303" utapata post zilizoelezea. Hapa ukiwa mvivu hautoweza, mimi nilitumia takribani siku 2.