Siku ya saba sasa umevaa boxa ile ile. Kila
unapotoka kuoga unainusa tena ukijua kabisa
kwamba hali ishakua tete.
Hivi tatizo ni nyotaaaaaa au sabuni za kipande
zimeisha kwenye duka la mangi mtaani kwako?