chiba philemon
Member
- Jun 24, 2017
- 31
- 9
Kwamaana hiyo tule mboga za majanieeeeMkuu WaTz ni noma.Haya mambo yanaletwa na ufahamu mdogo.Huyu wanaemuita dudu mtu ni pupa wa Apefly ambae kitaalamu anaitwa
Spalgis epius.Anaitwa Apefly kwa kuwa pupa wake anafanana na Sokwe.Wadudu hawa wanapatikana sana India wala hawana madhara yeyote.Anayetaka a-Google "Spalgis epius-wikipedia."
Mkuu kama umesoma vizuri nimesema hawana madhara,kwa hiyo mboga kula.Kwamaana hiyo tule mboga za majanieeee
Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
Kwa raha zako mkuuKwamaana hiyo tule mboga za majanieeee
Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app