Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 341
- 367
Wakuu habarini,,,,
Naitwa Rich nina shahada ya uhasibu katika Tehama,umri miaka 24-28, nipo ubongo dar es salaam ,,naomba nafasi ya kazi au connection na kazi ikiwa intern au ajira itakua poa tu,,, kwa sasa nafanya internship firm moja inajihusisha na accounting and auditing services tukifanya kazi na clients zaidi ya 5 kwa hapa Dar zinazojihusisha na electric supply na construction,,,, hvo na uzoefu katika uhasibu na ukaguzi wa hesabu,,,,, pia nimewahi fanya kazi katika store moja ya kuuza gesi za nyumbani,,microfinance kama loan officer, freelancer and marketing katika kampuni mbili tofauti... Pamoja na biashara binafsi ikiwemo stationary, ufugaji na kilimo japo nilikwama sababu ya mtaji.. ila nikipata mfadhili au mtu wakuniunga mkono tupige kazi ntashukuru maana napenda sana ardhi ninayo kwa kijijini lakini ila pesa hakuna .. ....
Naomba nafasi hususa ni katika eneo hilo au kama kuna kazi nyingine itakayonifaa sawa pia kama ntapata nafasi ya part time,,,muda wa usiku weekend na kadharika ntashukuru sana....
Nipo competent katika shughuli hizi:
1. Kuandaa tax returns
2. Auditing - internal controls, IT and FS
3. inventory management
4. Assets control
5. Accounting softwares -Tally and advanced excel naweza andaa program ya kuandaa hesabu za kihasibu kutumia excell
6. Accounting principals - IFRS,IAS,IPSAS
7. Proper documentation and record keepings
8. Master in computer application, Microsoft packages,speed typing na matumizi mengine ya kawaida. Pia programming language kama HTML,CSS na C++
9. Marketing skills and techniques (kukuza masoko na namna ya kushinda masoko)
10. Nimtu naependa sana kazi na kujitoa katika kazi muhimu boss aapreciate juhudi zangu...
11. Uandaaji wa business propasals, projects, research nk.
Kwa yeyote atakayekua na msaada ushauri, kazi or anything positive to me share na mimi.... Asanteni