Naomba muongozo wa application UDSM

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,983
Reaction score
3,670
Msaada wandgu, niko nafanya application udsm hapa, nimeshalipa pesa tayari na message imekuwa derivered.

Sasa pale wamesema baada ya malipo unangoja mfumo ujiupdate kwenda kwenye stage ya tatu lakini mpaka sasa hiyo stage ya tatu haijaja ni zaid ya dakika45.

Kwa yeyote aliyepatwa na hilo tatizo pleeease msaada. Maana namba zao kwa ajili ya msaada hazipatikani.
 
kuwa na subira kwani matumizi yetu ya mtandao bado hayako vizuri katika kiwango kinachotakiwa.
 
Mimi nataka kulipia pesa lakini namba yao ya kampuni no kama vile airtel money hawaitambui naomba msaada kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwishoni ndo wanatoa jibu kwamba pesa imetumwa wapi lakini hawaanishi before kwamba ni kampuni gani..ila inaitwa mfumo wa udahili
 
Application tunalipia sh ngp mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…