.wakuu ni wiki ya nne sasa tangu nianze kuulizia jinsi ya kununua simu kwa "ebay" yaani online kwa ku bid lakini sijapata msaada wa mtu kunielekeza cha kufanya please wanajamii wenzangu kama kunamtu anafahamu kuhusu namna ya kununua simu online aniambie....naomba sana
Be blessed guys