Hapana sina bima sina elaPole ndugu, umejaribu kufika hospitali kuwaona wataalamu?
ulifaham vipi kwamba una tatizo la msongo wa mawazo?
Hii hali imeanza tangu wa kumi ndan ya kichwa naon hakupo kama mwanz yan kun hali flan iv naion sio ya kawaida kama ganzi kwa ndan kuna chom chom
Najijua nina mawazo tangu mwez wa saba mwaka jana had leo sijawahi kufurahia maisha yangu ninayoishi kwa sasa nina waza 24 hrs na nais itakuwa chanzo cha matatiz ya kichwa man mda mwingin naon kama nimebeba kitu had nitie maji yakikauk hali inarud tenaulifaham vipi kwamba una tatizo la msongo wa mawazo?
Ok thanks ila iyo hali ninayoifeel kichwan ndo ina nikera zaidi kama kuna mtu anajua dawa nikanunueDuh pole saana, ungetafuta marafiki au watu wakuongea nao, waelezee shida/mawazo yako, the more you talk/share the better, kuliko kubakia na mawazo yako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok thanks ila iyo hali ninayoifeel kichwan ndo ina nikera zaidi kama kuna mtu anajua dawa nikanunue
Sent using Jamii Forums mobile app
Utieje maji mkuu? Ebu elezea vizuri Kwamba unahisi ndani ya kichwa kuna maji au kitu kizito kinacheza au kimeganda, Hali hiyo inakutokea ukiwa na mawazo mda sana au ni mda wote hali hiko hivyo?Najijua nina mawazo tangu mwez wa saba mwaka jana had leo sijawahi kufurahia maisha yangu ninayoishi kwa sasa nina waza 24 hrs na nais itakuwa chanzo cha matatiz ya kichwa man mda mwingin naon kama nimebeba kitu had nitie maji yakikauk hali inarud tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nakutumia text hujibu?Utieje maji mkuu? Ebu elezea vizuri Kwamba unahisi ndani ya kichwa kuna maji au kitu kizito kinacheza au kimeganda, Hali hiyo inakutokea ukiwa na mawazo mda sana au ni mda wote hali hiko hivyo?
Mkuu ungejieleza hapa hapa kwa Ufasaha kuna macho ya wengi hapa unaweza pata msaada, pia kua wazi hata kama hauna pesa kwenda kufanyanyiwa uchunguzi kuna watu waweza kukusaidia,. Jieleze vizuri mkuu