Umesoma chuo gani ambacho hawafundishi uandaaji wa Scheme of work?Km kuna mtu anaweza kunisaidia schemes of work za masomo ya arts advance
Mwalimu, unataka usaidiwe scheme of work badala ya kuiandaa mwenyewe kama sehemu ya maandalizi ya ufundishaji wako?Km kuna mtu anaweza kunisaidia schemes of work za masomo ya arts advance
