Naomba msaada wenu..

ucoolboy

Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
90
Reaction score
7
nimeapply kupitia NACTE Ila kila nikiperuzi sioni chuo nilichopangwa yaani mpaka nadata hapa naomba mwenye kunisaidia aniangalizie s1533.0020.2006, dah ntashukuru sana asee.
 
Usihofu mkuu vuta subira tarehe 16 wiki ijayo utajua upo chuo gan!!!
 
nimeapply kupitia NACTE Ila kila nikiperuzi sioni chuo nilichopangwa yaani mpaka nadata hapa naomba mwenye kunisaidia aniangalizie s1533.0020.2006, dah ntashukuru sana asee.

Hukuona mabadiliko yoyote kwenye profile yako?kama bado endelea kuwa na subira maana mchakato wa udahili unaendelea wiki ijayo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…