Loudspeaker
Member
- Feb 8, 2021
- 88
- 107
Huko China mlimpeleka kwa fedha zipi?
Kuanza upya sio ujinga, Mwambie arudi tu, Kulazimisha mambo sometimes sio kuzuri
China alifikaje....
Tuanzie hapo Kwanza
Pole sana mkuu, hamuwezi kumuona kiongozi yeyote wa serikali??kama ana perform vizuri na yuko katikati ya course wanaweza kukusaidia,inawezekana sio kitu wanachokifanya on daily basis,lakini case yako is different,wanaweza kuku consider....
I wish ningekuwa na hiyo connection,,,but naanzia wapi jamani [emoji24][emoji24],,ata sijui naanzaje kuwaokoa wadogo zangu,,,nisingependa na wao waishie kati,,itaniuma sana kiukweli maana wote tukikosa kuwa na professional,,nani atamsaidia mwenzake...Mimi na mama tumejaribu kutumia njia nyingi sana kuwafikia viongozi na watu mashuhuri wa hapa nchini,,bila mafanikio yoyote...Mfano tulijaribu kwenda mpaka kisarawe kwa madam Jokate,,atleast akutane na mama ili ampe connection on the basis ya kwamba she is our fellow Loyolite,,,kwakumaanisha Jokate alisoma loyola,,na mimi na wadogo zangu wote tulisoma high school pale loyola,,na Loyolites tuna utamaduni wa kushikana mikono,,,but hatukufanikiwa kuonana na Madam
Nashindwa hata namna ya kuandika ushauri wangu....... Naandika nafuta naandika nafuta.....
Ila all in all, nachotaka kusema tuu ni kwamba msifosi mambo. Cha msingi hapo muambie dogo akaahirishe masomo kwa taratibu zinazotakiwa kisha arudi bongo kuja kujipanga upya......
Kingine, mwambie aongee na association ya wanafunzi wa tz walioko China ili waweze kumchangia pesa ya nauli na wampe hifadhi kwa siku chache wakati anajichanga kupata nauli.
Unforgetable
Nadhani kuna utaratibu wa kuwaona hao viongozi wa juu, sikumbuki ila nadhani unahitaji, kupitia Sijui kwa mjumbe, serikali ya mtaa then mbunge wa jimbo lako, ukifanya tofauti na utaratibu unaweza usipate msaada, wana JF wataku direct proper channel, topic yako inaumiza I hope you get help ..:
Aisee pole sana. Kwa kuongezea hapa, vipi hawezi kufuata utaratibu wa kufika kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini China, then aone kama anaweza kusaidiwa hilo hitaji lake, lakini vilevile ikishindikana bhas ubalozi ukaweza kumsaidia kumurudishi Tanzania, kwa sababu watu wenye matatizo ughaibuni ni wengi na kazi ya ubalozi ni kutoa msaada kwenye scenario kama hizo pia.Pole sana mkuu, hamuwezi kumuona kiongozi yeyote wa serikali??kama ana perform vizuri na yuko katikati ya course wanaweza kukusaidia,inawezekana sio kitu wanachokifanya on daily basis,lakini case yako is different,wanaweza kuku consider....
Aisee pole sana. Kwa kuongezea hapa, vipi hawezi kufuata utaratibu wa kufika kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini China, then aone kama anaweza kusaidiwa hilo hitaji lake, lakini vilevile ikishindikana bhas ubalozi ukaweza kumsaidia kumurudishi Tanzania, kwa sababu watu wenye matatizo ughaibuni ni wengi na kazi ya ubalozi ni kutoa msaada kwenye snerio kama hizo pia.
Mkuu million sita Sio nyingi, sina hio hela ila tungeweza kumchangia mwenzetu hata kwa shilingi elfu kumi , kumi , au tumlipie akirudi na kuanza kazi arudishe. Mimi Naona huruma ingekua mwanzo wa kozi sawa kurudi sawa,ila umeshafika mbali kwenye course kurudi hapana kwa kweli
Aisee pole sana. Kwa kuongezea hapa, vipi hawezi kufuata utaratibu wa kufika kwenye ofisi za ubalozi wa Tanzania nchini China, then aone kama anaweza kusaidiwa hilo hitaji lake, lakini vilevile ikishindikana bhas ubalozi ukaweza kumsaidia kumurudishi Tanzania, kwa sababu watu wenye matatizo ughaibuni ni wengi na kazi ya ubalozi ni kutoa msaada kwenye scenario kama hizo pia.