Sam breezy_21
Member
- Sep 7, 2024
- 13
- 19
Naomba msaada wenu Iconfirmation yangu UDSM; nahitaji kwenda Law moja kwa moja lakini wameni-select Education na Law pia.
Ninafanyaje application upya coz sioni option ya ku apply upya etHapo umechaguliwa bachelor of arts with education na sio Law, so kama unataka uchaguliwe Law inabidi ufanye application upya na hiyo bachelor of Law uweke kama chaguo la kwanza.