Rod eli Shia
Member
- Aug 4, 2020
- 24
- 10
Asante lakini hawawezi kuangalia Division maana na Division 2:19Unaweza lakini kwa serikalini ushindani ni mkubwa mno, apply japo usichague vyuo vikubwa kama kibaha, lugalo, mbeya,, lkn pia kama utaweza nenda kajieleze chuon kuwa unauhitaji wa kusoma iyo koz watakusaidia..
Yaan siwez labda nikapewa kipaumbele japoAsante lakini hawawezi kuangalia Division maana na Division 2:19
Kwanza hongera kwa dvn nzur uliyopata, kiukweli kwa vyuo vya serikali unaweza ukawa na vigezo na usichaguliwe au ukachaguliwa, kwaiyo unapoapply vyuo vya serikalini hasa kwa koz za afya zebye ushindani kama clinical medicine usiweke 100% ya kupata hivyo kuwa dynamic, kwa ushauri wangu kwa alama ulizopata ni nzuri , fanya application mtandaoni lakini pia kwa vyuo vilivyo karibu na ww nenda kawaombe maana huwa baadhi ya wanafunz wanachaguliwa lakini hawariport kwaiyo ile nafasi inakuwa wazi ukiongea nao watajua namna ya kukusaidia ujiunge, lkn Jambo kubwa mtangulize Mungu maana ushindani kwa government ni mkubwa licha ya kuwa vigezo unavyoYaan siwez labda nikapewa kipaumbele japo
Asante kwa ushauri wako mzuri nitaufanyia kaziKwanza hongera kwa dvn nzur uliyopata, kiukweli kwa vyuo vya serikali unaweza ukawa na vigezo na usichaguliwe au ukachaguliwa, kwaiyo unapoapply vyuo vya serikalini hasa kwa koz za afya zebye ushindani kama clinical medicine usiweke 100% ya kupata hivyo kuwa dynamic, kwa ushauri wangu kwa alama ulizopata ni nzuri , fanya application mtandaoni lakini pia kwa vyuo vilivyo karibu na ww nenda kawaombe maana huwa baadhi ya wanafunz wanachaguliwa lakini hawariport kwaiyo ile nafasi inakuwa wazi ukiongea nao watajua namna ya kukusaidia ujiunge, lkn Jambo kubwa mtangulize Mungu maana ushindani kwa government ni mkubwa licha ya kuwa vigezo unavyo
Unaweza ukapata, hivyo omba lakini jisambaze kwa kujumuisha vyuo ambavyo ushindani wake si mkubwa sana.Naweza kusoma course ya Clinical kama nina hiz credit
C-BIOLOGY
C-CHEMISTRY
D-MATH
C-ENGLISH
D-PHYSIC
Naomba ushauri wenu kabla ya Deadline
Kama vipiUnaweza ukapata, hivyo omba lakini jisambaze kwa kujumuisha vyuo ambavyo ushindani wake si mkubwa sana.
Chagua vyuo vyenye levels tofauti za ushindani.Kama vipi
Chagua vyuo vyenye levels tofauti za ushindani.
Sawa AsanteChagua vyuo vyenye levels tofauti za ushindani.