Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 154
- 286
kikubwa achaguliwe A-level hapo kwenye phyz atapiga hata tuitNdiyo anasoma kabisaa, na vigezo amekidhi haswaaaa.
Ila angalizo hapo kwenye Phyz, hamna hamna, 4m 6 anazungusha 0.
Eti nini?? 😂😂😂😂😂kikubwa achaguliwe A-level hapo kwenye phyz atapiga hata tuit
Aende PCB,I/11
CIV - 'B'
GEO - 'B'
KISW - 'A'
ENGL - 'A'
PHY - 'C'
CHEM - 'B'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'A'
B/MATH - 'C'
Msadieni na huyu.
Hapa ndipo huwa siwaelewi nyie vijana! Mtu Physics amepata D form four, unadhani akiwa form six anaweza vuka D, huyo ni E au F kabisa. Kwanini mnalazimisha, huyo aende diploma aidha ya uhandisi au chuo cha afya na baada ya hapo, degree hadi PhDHabari za leo jf-members
kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17
IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
PMCsI/11
CIV - 'B'
GEO - 'B'
KISW - 'A'
ENGL - 'A'
PHY - 'C'
CHEM - 'B'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'A'
B/MATH - 'C'
Msadieni na huyu.
HuyoHabari za leo jf-members
kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17
IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
I/11
CIV - 'B'
GEO - 'B'
KISW - 'A'
ENGL - 'A'
PHY - 'C'
CHEM - 'B'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'A'
B/MATH - 'C'
Msadieni
Huyo anataka nn yey? Akeenda EGM Ingekuwa vizuri kama phy inamzingua kwa sababu huko mbele phy imechangamka mkuuHabari za leo jf-members
kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17
IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
Huyu anataka u doctor 💊Huyo
Huyo anataka nn yey? Akeenda EGM Ingekuwa vizuri kama phy inamzingua kwa sababu huko mbele phy imechangamka mkuu
Mmmmh inawezakana .ila inabidi akasome sana pcb inawakataa wengi sana.Huyu anataka u doctor 💊
Phyzikia d hapo hamna kituHabari za leo jf-members
kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17
IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.