Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Labda uanze kutuambia unataka kuwa nani au kufanya kazi gani. Maanake wang'ang'ania kuenda chuo Ili kuitwa msomi, but you spend so much time and money for something you're not quite sure you need.
ipo pesaa hapa anza kwa kuuza iyo bb
Avata zinafanana. Nilikuja kuona kumbe tayari kuna mtu anatumia avata hiyo ila sikutaka kuitoa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Amna bana umechange id
Muone mtoto wa mkulima a.k.a pinda.
Habari zenu wanajamvi!
Nimemaliza form six 2009 Milambo Sec school, mwaka huo nilipata nafasi kwenda kusoma Agricultural Engineering SUA. Lakini kutokana na kipato kidogo na kukosa mkopo sikuweza kujiunga.
Nimesoka kitaa na shughuli za hapa na pale na tempo teaching kusukuma maisha.
Mwaka jana niliomba tena chuo nikapata nafasi Mechanical Engineering UDSM(CoET). Mwaka huo nao nilikosa mkopo kwa sababu ya kumaliza form six zaidi ya miaka mitatu nyuma.
Mwaka huu niliomba tena chuo nimepata Computer Engineering UDOM ila nimefanya maombi ya transfer nikasome bsc with education DUCE. Mkopo nilichelewa kupeleka hardcopy ya form ya maombi sina uhakika kama ombi langu lilifanyiwa kazi
Nimejitokeza jukwaani leo nikiamini naweza kupata msaada wa kuweza kunifanya nami mtoto wa masikini nikapata elimu ya chuo kikuu. Naamini jukwaa hili wamo watanzania wenye hali tofauti tofauti ya kipato, pia naamini pia wanasiasa wapo humu ndani ambao mtaji wao mkubwa ndo sisi wapigakura wao ambao tunatabika ni jinsi gani tunaweza kupata elimu.
Niwaombe watanzania wenzangu wenye moyo wa huruma na wanauwezo wa kusaidia wanivushe katika hili na MUNGU atawaongezea,pia hata wale ambao kwa namna moja au nyingine wanaweza fanikisha lengo langu ninawaomba pia msipite kimya. Di yetu sote, tusaidiane jamani.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Emb twende sawa,umkaa mtaani miaka 3 ukifanya kazi ndg ndg lts say ulikua una save bk 2 kila cku ni bei gan?unajua waz hali yko kimaisha ni ngmu kwnn ununue cm ya laki 9?
m naamini kitu kimoja kwetu watanzania ni wepesi sana kujiita maskini ilihali tuna uwezo mkubwa sana kama we unajiita maskini na unatmia cm ya laki tisa ilihali kna waajiriwa humu ndan na ni dgree holders hwana hzo cm je nan anaitaji msaada kati yenu?
"i can lead the donkey to the water channel bt i cnt force it to drink water"

Naiuza kama unamkwanja naomba nikuuzie. Mi nilinunua 90000 kwa mtu. Ila kwa sababu inaonekana inaweza nipa mkwanja wa kutosha kwenda chuo, nitakuuzia kwa laki 250000 angalau ili unisaidie pia
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
2009 ulikosaje mkopo?maana mwaka ule ndio ulianza course za science 100% mm mwenyewe nilijaza form b4 then bodi form haikuonekana bas kwa jins wa science tulivyokua tunaheshimiwa niliambiwa nijaze form nyengine ya na nikapata asilimia mia,kwa ufupi 2009 hakuna mwanafunz wa science aliekosa mkopo kabisa,so nashangaa wewe uliepata admission ya engineering mwaka huo tena sua?..nina mashaka kdg
Nilichelewa kujaza form ya mkopo. Nikashindwa kuirejesha loan board.
Na ukijijini mchongo ukaishia hapo
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums