naomba msaada wataalam

Kanjunju

Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
92
Reaction score
6
naomba kujua modules zinazotakiwa unapotaka kutengeneza application au project ya saccos management system.msaada pls.
 
naomba kujua modules zinazotakiwa unapotaka kutengeneza application au project ya saccos management system.msaada pls.
Nakushauri uende kwenye hiyo saccos ujue "user requirements" ni zipi,wanafanya kazi vipi kwa sasa then wewe ukae chini udesign.Kumbuka mahitaji yanatofautiana kutoka saccos moja kwenda nyingine.Ila kama unataka copy and paste subilie waje wakueleze.
fanya full system analysis and design utajifunza vitu vingi by the time unakamilisha hicho kiproject.CRDB wamezipa baadhi ya saccoss system za kuwasaidia kama unataka short cut tafuta saccos iliyopewa system na CRDB uone ikoje.
 

sijapewa na saccoss ni project yangu chuo,sitaki kucopy and paste nahitaji kujifunza.
 
sijapewa na saccoss ni project yangu chuo,sitaki kucopy and paste nahitaji kujifunza.
Ok.Mara nyingi project za chuo unatakiwa kutafuta saccos ambayo wewe utakuwa unaenda huko wanakueleza jinsi wavyofanya kazi,input ni zipi na output wanataka ziwe zipi,wanakuonyesha form zao(input/output).Then wewe ukiwa na hizo information unakaa na kudesign system kama wanavyotaka iwe(system expectation-is the new system working as how it is supposed to).Number of users,user privelages,(triple A-Accounting,Authorisation,Authentication; system yako ni muhimu iweze kufanya hivi vitu).

Ni pm jina la chuo unachosoma naweza kukushauri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…