Hapo mkuu jaribu kuangalia pia graphic card yake huenda imebanduka.
Mara nyingi graphic card za Nvidia huwa na hilo tatizo, na hii ni kutokana na hiyo chip kuchemka sana wakati wa matumizi.
Hivyo cha kufanya ni kuipiga moto wa kutosha kabisa au kuifanyia reballing.
Kwenye swala la kuipiga inategemeana na mashine yako hot air rework station (blower) maana kuna zingine hata 250-280C° zinatoa joto kali na kuna zingine mpaka utumie joto la 350-400C° au 420C° kuendelea.
Kwa hiyo utajaribu uone joto litakaloleta matokeo mazuri bila kusahau soldering past (flux) maana moto ukizidi kama hukuweka flux hiyo chip inaweza kufa.
Sent from my cupboard using mug