Wanasheria jamani naombeni. msaada wenu nifanyeje ili nisome mimi mtanzania mwenzenu jamani hiyo ni haki kweli maana ktka application zangu bodi ya mikopo niliambatanisha na ile form ya kusomeshwa na serikali toka o, level ikiwa na muhuri wa afisa elimu sekondari lakini sijapewa mkopo nifanyeje ndugu zangu?