hilo tatizo linaweza kusababishwa na HDD au RAM. au shida kwenye motherboard ingawa shida ya motherboard huwa ni kubwa kidogo.
Jaribu kubadilisha HDD. isipotulia Badilisha RAM (itakuwa inatumia DDR2 bila shaka).
endapo shida ipo kwenye motherboard basi computer ita misbehave mara kwa mara hata wakati unapiga window inaweza kuenda vizuri mara ukirudia inakwama. unaweza kudhani shida ni hard disk. Angalia kwenye motherboard kama kuna dalili yoyote mbaya kama loose connections, au capacitors zilizovimba au kupasuka.