Habari zenu jamani,mimi ni msichana mwenye degree ya Masscommunication niliye maliza miaka kadhaa iliyopita,nimefanya kazi za kujitolea katika NGOs hivyo kidogo nina uzofu katika utekelezaji wa miradi tofautina na pia nina uzoefu wa mambo ya customer care na Public relations.Mimi ninaishi Mbeya
FURSA YA KAZI NA AJIRA YENYE MALIPO MAZURI KWENYE KAMPUNI KUTOKA
CHINA PIGA +255658276181,
KAMA KUNA NDUGU YAKO YEYOTE ANAITAJI FRUSA YA KAZI NA AJIRA AU WEWE MWENYEWE UKO TAYARI UKO TAYARI KUFANYA KAZI YEYOTE HATA YA KIPATO KUANZIA 300,000 HADI 500,000 KWA MWEZI AJE TUFANYE NAE KAZI KWENYE KAMPUNI YETU TUNAZO NAFASI 100 WANAWAKE KWA MWANAUME. KAZI ZETU SIYO ZA KUTEMBEZA VITU.VIGEZO
1:AWE NA UMRI
18+ABOVE
2:AWE SHAP NA MCHAPAKAZI
3:AWE TAYARI KUJIFUNZA
4:AWE ANAJUA KUONGEA KISWAHILI NA MCHESHI
5:AWE TAYARI KUJISIMAMIA MWENYEWE BILA BOSS
MALIPO NI MAZURI KULINGANA NA BIDII YA UTENDAJI KAZI WAKO,ACHA KUKAA NYUMBANI NJOO UJISHUGHULISHE TUFANYA KAZI,
#KWA WATAKAO WAI WATAPATA KIPAUMBELE WATAPATIWA VITAMBULISHO VYA KAZI,TISHETI SARE ZA KAZI NA KUANZA KAZI MARA MOJA PIGA SIMU +255658276181UKIWA NA BIDII KAZINI UTAPATA PESA YA NAULI NA CHAKULA WAKATI UKISUBILI MSHAHALA WA MWISHO WA MWEZI, FIKA OFISINI TUPO DAR ES SALAAM, MOROCCO JIRANI NA MAKAO MAKUU YA AIRTEL,UKIFKA MOROCCO PIGA SIMU UTAELEKEZWA AU UTAPOKELEWA +255658276181/+255692470547
TEMBELEA KURASA ZETU
INSTAGRAM:OFFICIALETERNALTANZANIA
LINKEDIN:ETERNALTANZANIA
EMAIL:
eternaltanzania1@gmail.com
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/355/355215.jpg?1464017241[/IMG]
Papushikashi
JF-Expert Member
Yesterday at 7:09 PM
#2
Eternal_Tanzania said:
FURSA YA KAZI NA AJIRA YENYE MALIPO MAZURI KWENYE KAMPUNI KUTOKA
CHINA PIGA +255658276181,
KAMA KUNA NDUGU YAKO YEYOTE ANAITAJI FRUSA YA KAZI NA AJIRA AU WEWE MWENYEWE UKO TAYARI UKO TAYARI KUFANYA KAZI YEYOTE HATA YA KIPATO KUANZIA 300,000 HADI 500,000 KWA MWEZI AJE TUFANYE NAE KAZI KWENYE KAMPUNI YETU TUNAZO NAFASI 100 WANAWAKE KWA MWANAUME. KAZI ZETU SIYO ZA KUTEMBEZA VITU.VIGEZO
1:AWE NA UMRI
18+ABOVE
2:AWE SHAP NA MCHAPAKAZI
3:AWE TAYARI KUJIFUNZA
4:AWE ANAJUA KUONGEA KISWAHILI NA MCHESHI
5:AWE TAYARI KUJISIMAMIA MWENYEWE BILA BOSS
MALIPO NI MAZURI KULINGANA NA BIDII YA UTENDAJI KAZI WAKO,ACHA KUKAA NYUMBANI NJOO UJISHUGHULISHE TUFANYA KAZI,
#KWA WATAKAO WAI WATAPATA KIPAUMBELE WATAPATIWA VITAMBULISHO VYA KAZI,TISHETI SARE ZA KAZI NA KUANZA KAZI MARA MOJA PIGA SIMU +255658276181UKIWA NA BIDII KAZINI UTAPATA PESA YA NAULI NA CHAKULA WAKATI UKISUBILI MSHAHALA WA MWISHO WA MWEZI, FIKA OFISINI TUPO DAR ES SALAAM, MOROCCO JIRANI NA MAKAO MAKUU YA AIRTEL,UKIFKA MOROCCO PIGA SIMU UTAELEKEZWA AU UTAPOKELEWA +255658276181/+255692470547
TEMBELEA KURASA ZETU
INSTAGRAM:OFFICIALETERNALTANZANIA
LINKEDIN:ETERNALTANZANIA
EMAIL:
eternaltanzania1@gmail.com View attachment 927837 View attachment 927839 View attachment 927841
Click to expand...
Inahusiana na nini mkuu
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/517/517013.jpg?1540754433[/IMG]
Job Seeker 2
Senior Member
Yesterday at 7:47 PM
#3

Ina deal NA issue gan mkuu
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/381/381365.jpg?1471936496[/IMG]
Mkorea
JF-Expert Member
Yesterday at 8:02 PM
#4

Saf kwa moyo uo
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/40/40691.jpg?1540739972[/IMG]
RGforever
JF-Expert Member
Yesterday at 8:08 PM
#5
Papushikashi said:
Inahusiana na nini mkuu
Job seeker 2 said:
Ina deal NA issue gan mkuu
mkorea said:
Saf kwa moyo uo
Kweli Hali mbaya Yaani Tangazo halioni kuwa ni La Janja janja Primary school...
LikeQuoteReply
Report
L
liter, msabillah, Mdomo bakuli and 2 others
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/517/517013.jpg?1540754433[/IMG]
Job Seeker 2
Senior Member
Yesterday at 8:09 PM
#6
RGforever said:
Kweli Hali mbaya Yaani Tangazo halioni kuwa ni La Janja janja Primary school...
Nimeona mkuu usela mwingi sana
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania and RGforever
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/153/153456.jpg?1540042541[/IMG]
M2flan
JF-Expert Member
Yesterday at 8:13 PM
#7
Eternal_Tanzania said:
FURSA YA KAZI NA AJIRA YENYE MALIPO MAZURI KWENYE KAMPUNI KUTOKA
CHINA PIGA +255658276181,
KAMA KUNA NDUGU YAKO YEYOTE ANAITAJI FRUSA YA KAZI NA AJIRA AU WEWE MWENYEWE UKO TAYARI UKO TAYARI KUFANYA KAZI YEYOTE HATA YA KIPATO KUANZIA 300,000 HADI 500,000 KWA MWEZI AJE TUFANYE NAE KAZI KWENYE KAMPUNI YETU TUNAZO NAFASI 100 WANAWAKE KWA MWANAUME. KAZI ZETU SIYO ZA KUTEMBEZA VITU.VIGEZO
1:AWE NA UMRI
18+ABOVE
2:AWE SHAP NA MCHAPAKAZI
3:AWE TAYARI KUJIFUNZA
4:AWE ANAJUA KUONGEA KISWAHILI NA MCHESHI
5:AWE TAYARI KUJISIMAMIA MWENYEWE BILA BOSS
MALIPO NI MAZURI KULINGANA NA BIDII YA UTENDAJI KAZI WAKO,ACHA KUKAA NYUMBANI NJOO UJISHUGHULISHE TUFANYA KAZI,
#KWA WATAKAO WAI WATAPATA KIPAUMBELE WATAPATIWA VITAMBULISHO VYA KAZI,TISHETI SARE ZA KAZI NA KUANZA KAZI MARA MOJA PIGA SIMU +255658276181UKIWA NA BIDII KAZINI UTAPATA PESA YA NAULI NA CHAKULA WAKATI UKISUBILI MSHAHALA WA MWISHO WA MWEZI, FIKA OFISINI TUPO DAR ES SALAAM, MOROCCO JIRANI NA MAKAO MAKUU YA AIRTEL,UKIFKA MOROCCO PIGA SIMU UTAELEKEZWA AU UTAPOKELEWA +255658276181/+255692470547
TEMBELEA KURASA ZETU
INSTAGRAM:OFFICIALETERNALTANZANIA
LINKEDIN:ETERNALTANZANIA
EMAIL:
eternaltanzania1@gmail.com View attachment 927837 View attachment 927839 View attachment 927841
Click to expand...
Yale yale ya uuzaji vyombo mtaani, kampuni gani inatangaza ajira pasipo kuwa na
--specific qualifications kwa waombaji
---kampuni gani inajigamba kuwa waombaji watakao wahi watapatiwa ID(vitambulisho)
si upuuzi huu?Vitambulisho kwani ni bonus kwa mtumishi? ni lazima mtumishi wa ofisi husika atambulike kwa ktambulisho na ni wajibu kwa kampuni kutoa vtambulisho sio swala la atakae wahi.
---Kampuni gani inayosema malipo na posho uhakika kwa wafanyakazi wake, huku ikifeli kusema watendaji hao watalipwa kwa kufanya kazi ipi haswa !Yaani hamjatoa ufafanuzi kampuni inajihusisha na nini?
---Kampuni gani inatoa pesa ya nauli na chakula kwa wafanyakazi walio na bidii pekee,Je kwa wale wazembe ni dhahil kuwa hawatofukuzwa kazi lakini watanyimwa hizo bonus🤦🏽♂️kwa maana hiyo hapa mtu atalipwa kulingana na utendaji wake,hakuwa specific amount to be payed !
Huu ni ubabahishaji kuweni wazi kwenye matangazo yenu msipende kutumia fursa ya watu kutokuwa na ajira ndio iwe source ya kuwafanya watu mabwege waombe kazi zisizokuwa na mantiki .
LikeQuoteReply
Report
L
Ramo, Daniel yusuph, Rough player and 5 others
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/506/506456.jpg?1536685154[/IMG]
MissL
Member
Yesterday at 8:14 PM
#8
Umesema kazi siyo ya kutembeza mitaani sasa mbona haujasema hiyo kampuni inashughulika na nn
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/381/381365.jpg?1471936496[/IMG]
Mkorea
JF-Expert Member
Yesterday at 8:15 PM
#9
RGforever said:
Kweli Hali mbaya Yaani Tangazo halioni kuwa ni La Janja janja Primary school...
Ficha ujinga wako angalau kwa sku za wkend
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/517/517013.jpg?1540754433[/IMG]
Job Seeker 2
Senior Member
Yesterday at 8:15 PM
#10
M2flan said:
Yale yale ya uuzaji vyombo mtaani, kampuni gani inatangaza ajira pasipo kuwa na
--specific qualifications kwa waombaji
---kampuni gani inajigamba kuwa waombaji watakao wahi watapatiwa ID(vitambulisho)
si upuuzi huu?Vitambulisho kwani ni bonus kwa mtumishi? Si wajibu ni lazima mtumishi wa ofisi husika atambulike kwa ktambulisho
---Kampuni gani inayosema malipo na posho uhakika kwa wafanyakazi wake, huku ikifeli watendaji hap watalipwa kwa kufanya kazi ipi haswa !Yaani hamjatoa ufafanuzi kampuni inajihusisha na nini?
---Kampuni gani inatoa pesa ya nauli na chakula kwa wafanyakazi walio na bidii pekee,Je kwa wale wazembe ni dhahiri kuwa hawatofukuzwa kazi lakini watanyimwa hizo bonus🤦🏽♂️
Huu ni ubabahishaji kuweni wazi kwenye matangazo yenu msipende kutumia fursa ya watu kutokuwa na ajira ndio iwe source ya kuwafanya watu mabwege waombe kazi zisizokuwa na mantiki .
Click to expand...
Kweli mkuu
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/381/381365.jpg?1471936496[/IMG]
Mkorea
JF-Expert Member
Yesterday at 8:17 PM
#11
M2flan said:
Yale yale ya uuzaji vyombo mtaani, kampuni gani inatangaza ajira pasipo kuwa na
--specific qualifications kwa waombaji
---kampuni gani inajigamba kuwa waombaji watakao wahi watapatiwa ID(vitambulisho)
si upuuzi huu?Vitambulisho kwani ni bonus kwa mtumishi? Si wajibu ni lazima mtumishi wa ofisi husika atambulike kwa ktambulisho
---Kampuni gani inayosema malipo na posho uhakika kwa wafanyakazi wake, huku ikifeli watendaji hap watalipwa kwa kufanya kazi ipi haswa !Yaani hamjatoa ufafanuzi kampuni inajihusisha na nini?
---Kampuni gani inatoa pesa ya nauli na chakula kwa wafanyakazi walio na bidii pekee,Je kwa wale wazembe ni dhahiri kuwa hawatofukuzwa kazi lakini watanyimwa hizo bonus🤦🏽♂️
Huu ni ubabahishaji kuweni wazi kwenye matangazo yenu msipende kutumia fursa ya watu kutokuwa na ajira ndio iwe source ya kuwafanya watu mabwege waombe kazi zisizokuwa na mantiki .
Click to expand...
Tumetofautiana viwango vya elimu, kipato na connection apa mjin
Kuna watu wanaziitaj hiz fursa, muwe mnatumia akil mnavyoandika mawazo yenu
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/40/40691.jpg?1540739972[/IMG]
RGforever
JF-Expert Member
Yesterday at 8:18 PM
#12
mkorea said:
Ficha ujinga wako angalau kwa sku za wkend
Haya Mkuu nimeuficha Weekenda ipite
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/154/154542.jpg?1537603034[/IMG]
Archduke
JF-Expert Member
Yesterday at 8:21 PM
#13
hizi kazi za kutangaza mshahara mara nyingi huwa za promotion
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania and Bakariforever
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/153/153456.jpg?1540042541[/IMG]
M2flan
JF-Expert Member
Yesterday at 8:23 PM
#14
Job seeker 2 said:
Kweli mkuu
Hizi kampuni zinaficha sana ukweli wa shughuli zao siku utakayo fika ofisini ndio washtuka unakabidhiwa madawa au vyombo utembeze mtaani, na malipo ni kulingana na ufanisi wako !Kampuni inatoa kazi bila hata vigezo vya Elimu af mshahara 500k ?🤷🏾♂️ na bado haisemi ni kampuni inayo-deal na nin yaani kwa maana hyo hii kazi hamna hata kuandika barua ya kuomba kazi maana hujui kazi gani utafanya
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/40/40593.jpg?1501260200[/IMG]
Heradius12
JF-Expert Member
Yesterday at 8:23 PM
#15
Unaweza kwenda ukaambiwa mambo ya netwark marketin
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/518/518809.jpg?1541580101[/IMG]
Tongelao
Member
Yesterday at 8:24 PM
#16
Wanauza madawa... Utatembea kutoka Morocco hadi mbagala kwa miguu ukitafuta mtaja wa hayo madawa na usipate mteja... Hao ndo wale wale kama forever.... Kuwa makini
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/518/518314.jpg?1541280081[/IMG]
Eternal_Tanzania
Member
Yesterday at 8:24 PM
#17
RGforever said:
Kweli Hali mbaya Yaani Tangazo halioni kuwa ni La Janja janja Primary school...
ACHA ULANGUZI
LikeQuoteReply
Report
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/518/518314.jpg?1541280081[/IMG]
Eternal_Tanzania
Member
Yesterday at 8:25 PM
#18
Job seeker 2 said:
Nimeona mkuu usela mwingi sana
Acha ulanguzi
LikeQuoteReply
Report
M
Mac Muga
Member
Yesterday at 8:26 PM
#19
hii ndo ukishidwa timiza ndoto zako katika maisha,utaishia kutimiza za wengine
LikeQuoteReply
Report
L
Eternal_Tanzania
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/518/518314.jpg?1541280081[/IMG]
Eternal_Tanzania
Member
Yesterday at 8:27 PM
#20
mkorea said:
Tumetofautiana viwango vya elimu, kipato na connection apa mjin
Kuna watu wanaziitaj hiz fursa, muwe mnatumia akil mnavyoandika mawazo yenu
MUNGU AKUBARIKI KIJANA
LikeQuoteReply
Report
Next
Share:FacebookTwitterGoogle+RedditWhatsAppEmailTelegramInstagram
Remove formatting
BoldItalicUnderline
Text colorFont size
Insert linkInsert imageSmiliesInsert
AlignmentList
UndoRedo
Toggle BB code
Write your reply...
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/513/513426.jpg?1539759970[/IMG]
POST REPLY PREVIEW
ATTACH FILES
Edit avatar
siddat
Member
Messages
12Likes
1Trophy points
5
FORUM STATISTICS
THREADS1,222,803
MEMBERS468,365
POSTS28,804,986
FACEBOOKTWITTERTELEGRAMINSTAGRAM
Previous
WHO WE ARE
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome!
Read more...
WHERE ARE WE?
We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...
DISCLAIMER
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...
FORUM RULES
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly.
Read more...
PRIVACY POLICY
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy.
Proceed here...
Next
Up to top