Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,189
- 1,307
Kuna wimbo wa band fulan ckumbuk, unamaneno anaanza Muumin Mwinjuma,
"Petro alimkana bwana Yesu mara tatu,kabla jogoo hajawika,
lakin petrooo alisamehewa,
Kosa langu lipi dada lisilosamehewa, nakiri kosa naomba nisamehe.........
Then anakuja Badi Bakule anaimba "minyororoooh minyororooh........
Tafadhali mwenye kujua jina la bendi na huo wimbo na kama anao nauomba. Ahsante nawakilisha