namwaga bhas
1.nenda playstore download android lost application ya kwanza tu ukidownload
2..baada ya hapo installll baada ya kuinstall icon yake kwenye simu utakuta imeandikwa personal notes utaifungua na kuactivate application ,na utarequest administrator na premium mpaka ibaki neno exit peke yake
3......watakiwa ujue huyo mpnz wako kwenye simu yako upande wa play store alifungulia email gan na pasword gan kama haujui waweza kureset phone na kusajili kwa email yako
4....baada ya hapo ingia
Android Lost then sign in kwa email uliyotumia kwenye simu yako na uingze pasword baada ya hapo utaingia kwenye setting na kuanza kuchagua watakaupate nn kutoka kwenye hiyo simu waweza kuomba ikileteee sms anazotuma na kutumiwa au call list ,au kuifanya simu yake ijilock au kuipigasimu yake alarm hata kama yupo mbeya ww upo msoma
lakin taarfa itakuja kwako endapo yy yupo online yaan data ipo on na kama data ipo off ukiwa umeomba sms yy baada yakuingia online sms zitatumwa kwenye email na ww wabid uende kwenye email kusoma