Naomba msaada wa kupata windows 10

Ryacoed

Senior Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
129
Reaction score
52
Kwa ambaye ana window 10 tafadhari anisaidie
 
ila usisahau kila unachofanya unaangaliwa na still ni preview kuna bugs za kutosha. sio os ya kutegemea kila siku
 
Kweli kabisa Chief-Mkwawa nilifanya piracy ya Microsoft office na kuondoa watermark,Windows ikaanza ku-misbehave
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa Chief-Mkwawa nilifanya piracy ya Microsoft office na kuondoa watermark,Windows ikaanza ku-misbehave

yani sio kitu cha siri walitangaza hadharani kabisa kuwa watakaoeka win 10 technical preview tutaangalia wanachofanya ili kuboresha huduma zetu
 
Last edited by a moderator:
Ni laxima watangaze coz wao sio open source wako kwa ajili ya biashara so wametoa fursa kwa hackers ili waone their weakness but to be honest I like windows 10 lovely advance features
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…