Naomba msaada wa Kupata Salary Slip

Naomba msaada wa Kupata Salary Slip

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,851
Reaction score
2,771
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa yoyote anayeweza kufahamu jinsi ya kupata salary slip ya miaka ya nyuma kuanzia 2016 kurudi nyuma huko kabla ya kubadili mfumo na kuja huu wa sasa, maana nahitaji salary slip ya 2013 lakini sipati nimejaribu kwa mfumo wa sasa naambiwa haipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda www.mof.go.tz kisha salary slip portal,register then utakua na uwezo wa kuzipakua baada ya masaa 24 toka umejiunga. Uwe na email,taarifa zako za kiutumishi kama check no,user level

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa mwajiri wako inawezekana copies zikawepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Mkuu namni nimeshafikiria sana hili but nahofu hii hama hama ya wizara to Dodoma sizani kama zitakuwa zimebaki salama naweza piga nauli to Dodoma naambiwa zilibaki dar, kwenda dar naambiwa itakuwa zilindoka njiani maana nchi hii aiseee ni vituko tupu

Kuna umuhimu gani wa hizo salary slip za zama hizo? naomba kufahamishwa ili nami nijiandae!
 
Kuna umuhimu gani wa hizo salary slip za zama hizo? naomba kufahamishwa ili nami nijiandae!
Hahahahahahah mkuu ni kwa faida yangu nataka kubebea malimbikizo ya mshahara nimeambiwa nipeleke fumo na hiyo salary slip ya mwanzo, nikajikuta kumbe sina ndani sasa huu mpunga utanipataje hivi hivi, miezi minne hapo nadai serikali mkuu so lazima nikomae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna Mwajiri mwenye salary slips.
nakushauri nenda Ofisi ya HAZINA iliyo Karibu nawe! Watakupa! Mi nlipata ila hazikuwa za zamani kihivyo! Nlipata za 2015

Ndo maana nikauliza kwani jinsi ya kuzipata za sasa hivi najiua, nikaribu kutafuta ya 2013 naambiwa hakuna kwenye system, shida yangu ni salary slip ya 2013

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna Mwajiri mwenye salary slips.
nakushauri nenda Ofisi ya HAZINA iliyo Karibu nawe! Watakupa! Mi nlipata ila hazikuwa za zamani kihivyo! Nlipata za 2015
Nilishaipata mkuu, niluendaga hazina pale pale Dodoma nikaichopa faster tu haikuchukua hata dk 7
 
Back
Top Bottom