nisaidie simple ki vipiMbn simple sana tuu
Kama hivinisaidie simple ki vipi
nimegundua kitu nimejaribu kuandika mesage afu nikatuma kwa mufa huo nikajaribu kufuta ikakubali imenipa option ya delet all lkn mesage nazotaka kufuta ina kama siku 7 naomba msaada mwenye kujua kina chief mkwawa nisaidieni
bado sijatatuliwa natumia sumsumg galax j7 prime.Unatumia simu gani?
Au ushapata msaada mkuu?