Install iTunes kwenye PC, hakikisha PC ina internet, unganisha iphone na PC kwa cable, ngoja simu iwe recognized kwenye iTunes fanya update ya simu kupitia iTunes, utapata version 6 kama sikose, ni download kubwa kam 1 GB so hakikisha una internet ya maana. Ni vizuri kuhakikisha umefanya backup ya simu yako kabla, hili pia unaweza kufanya kupitia iTunes.