Hatua nitakazo kuelekeza zitafuta kila kitu ktk hyo simu na kuanza upya kama utakubaliana na hilo fuata hizi hatua.
1. Zima hiyo simu kwa power button au kwa kutoa betri
2. Washa ukiwa umeshikilia kitufe cha kuwashia simu pamoja na kitufe cha kuongezea sauti kwa wakati mmoja hadi iwake.kisha achia itakapoleta maneno kadhaa yenye rangi ya njano.
3. Tumia kitufe cha kupunguzia sauti kushusha hadi kwenye neno factory reset.
4. Ukisha chagua hilo neno hapo juu bonye kitufe cha kuzimia simu.kisha fuata maelekezo utakayo pewa Subiri dakika kadhaa simu yako itafuta kila kitu.
5. Simu itazima kisha itawaka.