wangewange Senior Member Joined Oct 4, 2013 Posts 189 Reaction score 43 Sep 8, 2014 #1 Habari wakuu, Naomba mwenye utaalamu anisaidie ku unlock hiyo simu ni Samsung Gt-E1500 inahitaji password, pale napowasha inataka password.
Habari wakuu, Naomba mwenye utaalamu anisaidie ku unlock hiyo simu ni Samsung Gt-E1500 inahitaji password, pale napowasha inataka password.
J jay_samuel_dunstan Member Joined Aug 6, 2014 Posts 39 Reaction score 3 Sep 8, 2014 #2 Toa line then turn yo phone on then *2767*3855#
wangewange Senior Member Joined Oct 4, 2013 Posts 189 Reaction score 43 Sep 8, 2014 Thread starter #3 jay_samuel_dunstan said: Toa line then turn yo phone on then *2767*3855# Click to expand... Hakuna sehem ya kuandka code just need pasword afu kulia kwa phone kuna sehem ya confirm n kushoto ni emergency call
jay_samuel_dunstan said: Toa line then turn yo phone on then *2767*3855# Click to expand... Hakuna sehem ya kuandka code just need pasword afu kulia kwa phone kuna sehem ya confirm n kushoto ni emergency call
J jay_samuel_dunstan Member Joined Aug 6, 2014 Posts 39 Reaction score 3 Sep 8, 2014 #4 Mmmmh! Hapo czani kama kuna options nyingine zaidi ya kuflash cm