Naomba Msaada wa ku unlock HUAWEI WiFi e5331

blad

Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
26
Reaction score
6
Habari! Nahtaji unlock codes za hii kitu, itumie line zote. Sas ivi inatumia line ya vodaom tu.
 
Attachments

  • 1407670510658.jpg
    15.6 KB · Views: 122

Attachments

  • 1407686527176.jpg
    30.9 KB · Views: 96
mkuu Mwl.RTC vp kuhusu huawei e3231 hilink,,inawezakana ??
 
Mm atakayeweza Unlock ya SMILE il ani PM tufanye kazi
  • Ni PM 1]Brand Name , 2] Model Number, na 3] IMEI yake
  • Ili nikuangalizie kwenye server kama ipo
  • KARIBU
OOOh........!! One thing!, HAPPY BIRDTHDAY ndugu , Naona hapo juu siku kama ya leo mwaka 2012 ndio umezaliwa rasmi hapa JF !
 
Hahahaha!Upo makini sana mm sina hata habari kama ndo JF b'day
Asante sana

Hili li-modem la SMILE halina hata Jina kabisa kuna mtu lilimshinda akaniletea nilitolee Lock nikijua litakua la huawei au ZTE kumbe hata haijulikani....
Ngoja ni ku-PM kwa maelezo zaidi
 
Thnxs Mwl.RTC,,
Sasa e173 yang naiweka pembni,,,now mwendo wa e3231.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…