Naomba msaada wa kimasomo

keki ya harusi

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2017
Posts
271
Reaction score
432
Wanajamvi habari za mida poleni na uchovu na maumivu yanayotokana na changamoto za awamu ya viwanda
Ndugu zangu wanajamvi Mimi ni kijana mtanzania mwenzenu nipo chuo mwaka wa tatu sasa nasoma medicine si haba bodi wananilipia ada japo kwa asilimia ndogo sana nashukuru kwa hicho
Ndugu zangu wanajamvi ada imekua mwarobaini kwangu nasoma kwa tabu na msongo wa mawazo kiasi nakata tamaa nimezunguka sana kwa wadau mashirika taasisi nk lkn bado sijafanikiwa kupata msaada hvyo naandika Uzi huu kwa mwanajamvi yoyote si kwamba msaada ni pesa ila hata ushauri au kama mtu anafahamu wapi naweza hata kukopeshwa pesa nilipe ada ili nimalize masomo yangu nitashukuru sana wanajamvi wenzangu
Wenu Mimi mwenzenu ktk mapambano haya

Cc kazi na bata
 
Itapendeza kama maoni au ushauri uje kwa pm natanguliza shukrani za dhati kwa moods
 
Mkuu mwaka Jana si ulikosa admission? Sasa huo mwaka wa tatu umefikaje?

Kwa tuliokosa admissions - JamiiForums
Hahaaaa yani hawa na utapeli wao ndio wanafanya watu ambao wako na uhitaji wa kweli wakose masaada wakiomba humu! na ukweli ni kwamba waomba misaada wamezidi humu na wengine makaburi ndio hao wanafukuliwa na. kuonesha utapeli

Ushauri! waomba misaada wote wapitie kwa uongozi wa jamii forum hiyo ndio itoe muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…