Nina shida na kazi yoyote. Mimi ni kijana wa miaka 25 nimefanikiwa kufika form six, changamoto ya ada ikanifanya niishie mwaka wa kwanza MBEYA UNIVERSITY (MUST) nataman kuludi shule lakini mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe kwa sasa naombeni kazi yoyote na MUNGU atakubariki zaidi ya hapo
Afu nikushauri tu, ungeweka hata preference za kazi hata kama ni kumi, usiseme kazi yoyote!!! Kuna kazi za kukatia ngombe majani, hizi ukifanya mwezi lazima maji uite mma na ujira wenyewe wa kuunga unga