Naomba Msaada wa configuration/settings za SMS Gateway

G12

Senior Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
156
Reaction score
51
Nimejaribu ku configure SMS Gateway hii HAPA kwenye android phone yangu ili niweze ku forward sms kwenda kwenye webservice ya application yangu (web based application)

Nimejaribu kutuma sms kwenda kwenye simu yangu, zinafika kwenye SMS Gateway lakini haziwi forward kwenye application yangu.

Nime create web service SMSGatewayWebservice.asmx
Then nime configure Sync URL kama HAPA

ProcessRequest ni webmethod katika hiyo webservice.

Naomba msaada kwa wataalamu wa hii configuration/settings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…