Naomba msaada/ufafanuzi: Nina kampuni ya ujenzi

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
320
215
Nina kampuni ya Ujenzi ambayo nataka iwe pia inafanya consultancy works ambazo hazi-relate na mambo ya Ujenzi. Je nilazima niwe na leseni ya biashara ya kazi hizo ambazo nataka kuzifanya?
 
Ndio.
 
hizo kazi zimo kwenye memorandum na article of association? kama ndio nadhani huna haja
 
Back
Top Bottom