Naomba msaada tatizo la mita(luku) kuandika connect fail

Remtuz

Senior Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
105
Reaction score
222
Samahan wakuu nina tatizo hapa la mita au maalufu kama luku ni ile ya kisasa yenye kile kimita kidogo kama kalukuleta cha kuingizia umeme na kuangalia pia sasa imekuwa na tatizo hili la connect fail kama mwezi hivi nikawasiliana na tanesco iliyopo jirani yangu maana mimi niko dat mitaa ya tabata, baada ya kuwaeleza tatizo langu wakanipa namba za kuwa naingiza ili kuondoa tatizo hilo kwamba nitaandika kwenye kile kimita kidogo 59698686 kisha namba ya mita yangu kisha nipige ok yaani connect na tatizo linaisha na kufanikiwa kuingiza umeme

Sasa leo tena limejirudia na linatokea mara kwa mara sasa hasa umeme unapoisha kabisa mkitaka kuingiza mwingine, sasa leo nimetumia njia hiyo naona tatizo halitaki kuisha na nmeshanunua umeme ila niko giza kisa hilo tatizo sasa naomba mwenye njia na msaada mwingine a nisaidie na najua ukinisaidia mini hapa utakuwa umetusaidia watu wengi sana wenye kukutana na tatizo kama langu humu mita namba yangu inaanza na 3720 kuendelea nitafurahi sana nikipata ufumbuzi wa tatizo langu humu maana naamini wengi wenu mnauzoefu wa haya mambo kuliko mimi, napiga namba za tanesco za Ofisi ambazo huwa natumia siku zote naona hazipatikani. Kabisa, Asanteni na karibuni sana. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni 0620 283 853.
 
Connect failure means no connection btn meter and remote.Cheki Kwanza Kama hiyo remote Betty zake Kama ziko vizuri au nenda kwa jirani chomeka remote yako kwenye umeme wake then anza na hizo namba ulizo elekezwa,
 
Aweke battery mpya akiona bado haifanyi atoe battery aende achomeke kwenye socket nyumba yeyote ya jirani aingize umeme kitaingia.Ni vizuri kuingiza umeme kabla haujaisha siku ingine kuepuka usumbufu
 
Mkuu betri ziko poa ndo nazotumia mara linapotikea tatizo lakin pia hata nikiweka kwa jirani yangu mwenye umeme bado tatizo linakuwepo
Kama pamoja na kutoa battery ukachomeka kwenye umeme haifanyi kazi itakuwa na tatizo hasa la kumwagikiwa maji nk sio tatizo chukua cha jirani yako achana na hicho cha kwako .Niko nje ya mji sijakariri namba za namna ya kuingiza umeme kutumia remote ya Luku ya Jirani kuingiza umeme kwako. Mwenye kujua zile procedure hebu msaidieni
 
Hii shida hata kwangu huwa inatokea aisee! Mpaka naikumbuka ile mita ya 013 ya South Africa
 
Hizo mita sometimes zinataka uwe umezima swich zote nyumba nzima ndio zinakubali kukonect, solution ya pili ni kwenda kwa jirani, kwangu ikiniandikia connection fail, huwa nazima vitu vyote kisha naingiza kama mara mbili au tatu unakubali
 
Ilinitesa sana hizo mita, niliipeleka tanesco kutaka kujua tatizo ni nini, ndipo wakanipa amelekezo ya kuzima switc zote za nyuma (za taa na sockets
 
Jaribu hii solution kwa kutumia remote ya jirani hebu Fanya hivi.Chukulia Luku namba yako ni namba 1234 ya Jirani yako ni 5678.Ushike remote ya jirani Anzavkwanza kwa kuandika mita yako kwenye hicho kidude kwa kurudia mara mbili Yaani andika hivi 12341234 kisha bonyeza OK halafu ingizia namba zako za token numbers za umeme ulionunua weka OK . Umeme utawaka .Kuimalizia andika namba za Luku ya Jirani ukiirudia kwa mfano unaandika 56785678 halafu weka OK ili kuirudisha ikae kama ilivyokuwa.
 
Samahan wakuu nina tatizo hapa la mita au maalufu kama luku ni ile ya kisasa yenye kile kimita kidogo kama kalukuleta cha kuingizia umeme na kuangalia pia sasa imekuwa na tatizo hili la connect fail kama mwezi hivi nikawasiliana na tanesco iliyopo jirani yangu maana mimi niko dat mitaa ya tabata, baada ya kuwaeleza tatizo langu wakanipa namba za kuwa naingiza ili kuondoa tatizo hilo kwamba nitaandika kwenye kile kimita kidogo 59698686 kisha namba ya mita yangu kisha nipige ok yaani connect na tatizo linaisha na kufanikiwa kuingiza umeme

Sasa leo tena limejirudia na linatokea mara kwa mara sasa hasa umeme unapoisha kabisa mkitaka kuingiza mwingine, sasa leo nimetumia njia hiyo naona tatizo halitaki kuisha na nmeshanunua umeme ila niko giza kisa hilo tatizo sasa naomba mwenye njia na msaada mwingine a nisaidie na najua ukinisaidia mini hapa utakuwa umetusaidia watu wengi sana wenye kukutana na tatizo kama langu humu mita namba yangu inaanza na 3720 kuendelea nitafurahi sana nikipata ufumbuzi wa tatizo langu humu maana naamini wengi wenu mnauzoefu wa haya mambo kuliko mimi, napiga namba za tanesco za Ofisi ambazo huwa natumia siku zote naona hazipatikani. Kabisa, Asanteni na karibuni sana. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni 0620 283 853.
Chukua hiko ki remote chakuwekea Umeme then kichomeke kwenye swichi na uiwashe then ingiza Umeme nb swichi utakayotumia iwe ni ya nyumba husika maana kama mita ni ya kwenye nguzo signal itakua haifiki so utakapo Fanya ivo utakua umetuma signal direct kwenye mita yako.
 
Ilinitesa sana hizo mita, niliipeleka tanesco kutaka kujua tatizo ni nini, ndipo wakanipa amelekezo ya kuzima switc zote za nyuma (za taa na sockets
Kwa maana nyingine ni heri utumie betri tu au kutosubiri umeme kukatika..il mimi mbona walinipa na smart card ili nikitaka ku recharge units naweza tumia njia ya swaping kutumia smart card zao
 
Samahan wakuu nina tatizo hapa la mita au maalufu kama luku ni ile ya kisasa yenye kile kimita kidogo kama kalukuleta cha kuingizia umeme na kuangalia pia sasa imekuwa na tatizo hili la connect fail kama mwezi hivi nikawasiliana na tanesco iliyopo jirani yangu maana mimi niko dat mitaa ya tabata, baada ya kuwaeleza tatizo langu wakanipa namba za kuwa naingiza ili kuondoa tatizo hilo kwamba nitaandika kwenye kile kimita kidogo 59698686 kisha namba ya mita yangu kisha nipige ok yaani connect na tatizo linaisha na kufanikiwa kuingiza umeme

Sasa leo tena limejirudia na linatokea mara kwa mara sasa hasa umeme unapoisha kabisa mkitaka kuingiza mwingine, sasa leo nimetumia njia hiyo naona tatizo halitaki kuisha na nmeshanunua umeme ila niko giza kisa hilo tatizo sasa naomba mwenye njia na msaada mwingine a nisaidie na najua ukinisaidia mini hapa utakuwa umetusaidia watu wengi sana wenye kukutana na tatizo kama langu humu mita namba yangu inaanza na 3720 kuendelea nitafurahi sana nikipata ufumbuzi wa tatizo langu humu maana naamini wengi wenu mnauzoefu wa haya mambo kuliko mimi, napiga namba za tanesco za Ofisi ambazo huwa natumia siku zote naona hazipatikani. Kabisa, Asanteni na karibuni sana. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni 0620 283 853.
Una hile smartcard? Huwa ni mbadala wa kuwekea units za umeme
 
Back
Top Bottom