Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

Naomba msaada tatizo la kupokea Message kwenye Simu

Status
Not open for further replies.

MBUNICHA

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
15
Reaction score
1
Simu yangu haioneshi massage znazoingiaa ila nikituma mimi fresh inaenda kama kawa. Nimecheki setting ziko fresh msg center no. iko vizuri.

Nikichange line na kuweka kwenye simu nyingne zinaingiaaa fresh. Had hapa nmeshindwa jinsi ya kufanya coz nmejaribu njia nyingi tatizo liko pale pale.

Aina ya cm ni Tecno P5 (rooted na nishawahi futa baadh ya system file so cjajua ka kunakitu nilkologa wakati wa kufuta nikafuta kitu kinachowezesha kureceive txt).

Naomba nieleweshen kidogo nianzie wap kwa hilo Tatizo.

Thanks.
 
download hii kitu then install dl.cdn.chip.de/downloads/22154847/com.google.android.talk.2.3.apk?cid=65233936&platform=chip&1414390352-1414397852-ea10b-B-f982ba7a68bc72c5326cd6bde97eb175
 
Hao waliokushauri hapo juu ikishndikana. Zima then uwashe.
Mrejesho muhimu.
 
Mkuu khalfan56 nmejaribu kuitafuta hiyo kitu kwa play store nmeshindwa naomba nitajie jina kabsa.
 
Niloipata ni apps ya kuchat kwa gmail ila sio ya sms za kawaida........pia hiyo link hapo juu nashindwa kuitumia khalfan56
 
Last edited by a moderator:
bosco makoi Njia ya kuzima na kuwasha nishaitumia hata kuchange line 1>2>1 nmejaribu bt bado sms haziingie japo sender wanadai notification ya Ku receive wanazipata.
 
Last edited by a moderator:
Shukran kwako khalfan56 Hatimaye nmefanikiwa kuweza kupokea txt.
 
Last edited by a moderator:
jamani kila nikipigiwa simu naambiwa iko bize.. na hakuna namba yoyote kwenye black list nisaidie napokea text tu lakini hakuna call inayoingia natumia android e19
 
jamani kila nikipigiwa simu naambiwa iko bize.. na hakuna namba yoyote kwenye black list nisaidie napokea text tu lakini hakuna call inayoingia natumia android e19

check setting zako angalia kwenye call settings
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom