Wakuu nimepata tatizo kila nikiweka modem za Kampuni yoyote (TIGO, VODA na AIRTEL) kwenye laptop yangu inanipa ujumbe kuwa "the device driver software was not successfully installed".
Nikashauriwa ni download kutoka google kitu inaitwa "slimdrivers" ambayo halafu niisevu kwenye flash then niweke flash kwenye pot ya Laptop kwa ajili ya ku update drivers.
Nimekwenda hatua zote hizo but nikiweka flash kwa ajili ya updating drivers inanipa ujumbe kuwa kuna error imetokewa hivyo updating haijafanyika. Hebu naombeni muongozo mzuru wakuu huenda nakosea mahala flani.
Note: operating system kwenye Laptop ni window 7