Habari za jioni wana jukwaa, nina simu aina ya lenovo, kuna kijana aliichezea, sasa ameweka lock, kila nikiwasha inanidai lock, nashindwa hata kuitumia jamani, ninaomba msaada nifanyeje jamani?
Habari za jioni wana jukwaa, nina simu aina ya lenovo, kuna kijana aliichezea, sasa ameweka lock, kila nikiwasha inanidai lock, nashindwa hata kuitumia jamani, ninaomba msaada nifanyeje jamani? CHIEF MKWAWA, na wengineo.