Naomba msaada ninapata maumivu ya sikio

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Jamani masikio yangu yanauma kwa kuchoma choma lakini hayatoi usaha, nn shida .Yanachoma choma
Je ni hali ya kawaida?
 
Jaman naombeni msaada wenu Nina kauka Koo nilienda kutibiwa nikaambiwa Nina madonda ya TUMBO nimetumia dawa Ila Koo Bado inakauka sikuizi nikijikokomoa naona tudamu tudogo tumechanganyika na koozi naombeni msaada wenu ivi namasikio yanauma yanakua na vichomi vichomi naombeni msaada wenu sababu naumia mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom