Naomba msaada, nimeibiwa simu

Habari za wakati huu wadau naomba msaada nimeibiwa Sim aina ya TECNO-L8", inakiasi kidogo cha pesa ktk line, haina application yoyote ya kuzuia wizi , Ina password tuu, IMEI zake ninazo
Naomba msaada nifanye nini? "

oya mwizi huyu hapa
Naombeni namna ya kutoa Password kwenye Tecno L8 jamani.
hahhahahha ila we jamaa unazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…