Naomba msaada, nimeibiwa simu

Maccavelli

Senior Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
173
Reaction score
174
Habari za wakati huu wadau naomba msaada nimeibiwa Sim aina ya TECNO-L8", inakiasi kidogo cha pesa ktk line, haina application yoyote ya kuzuia wizi , Ina password tuu, IMEI zake ninazo
Naomba msaada nifanye nini? "
 
Wanakuja wenye I.T
 
hapo utaenda police kureport ili kitengo chao cha IT kianze kazi ya kuitafuta ila kuipata utaipata ila garama zake zitakuwa karibia ununue simu nyingine kama hio.
note
Kama hio simu kaishika janja la town huwa tuna change imei hapo tcra+mtandao wa simu +usalama wa taifa + na ww ulieibiwa+ mganga wa kienyeji Mshana Jr wataitafuta ila hawataipata
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] mkuu
 
Nenda karenew line waambie ilikuwa na pesa, nenda kwenye Voda, tigo, airtel shop..

Kuhusu simu forget..
 
Naombeni namna ya kutoa Password kwenye Tecno L8 jamani.
 
Habari za wakati huu wadau naomba msaada nimeibiwa Sim aina ya TECNO-L8", inakiasi kidogo cha pesa ktk line, haina application yoyote ya kuzuia wizi , Ina password tuu, IMEI zake ninazo
Naomba msaada nifanye nini? "
Nenda polisi ukatest bahati yako...
Lakini kama hauna mtu mnaefahamiana nae ni ngumu sana kuipata
 
Pole sana mkuu, wizi unarudisha nyuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…