Kaka shikamoo!! Nishakusalimia brooHuo msaada angeuomba huyo ndugu yako ingependeza zaidi.
Hapa utaweka chain kuwa ndefu.
A-B-C mpaka D .
Mwambie aende TAMISEMI Dodoma akamwone dereva wa boss yeye ndo atampa connection ya uhamisho wa chap.
Madereva na walinzi ndio wenye connection, tatizo hamtusalimiagi.
Marhaba. Nikusaidie nini mdogo wanguKaka shikamoo!! Nishakusalimia broo
kama yeye hawezi kuhama,bas baba ahame...tumia kanuni ile ya ukiona mambo hayaendi,nenda weweNaomba kusaidiwa,
Mimi nina rafiki yangu anafanya kazi mashuleni serikalini ni mtumishi, anafanyia kazi mkoa flani, mzazi wake anaishi mkoa mwingne, na mazazi wake anaumwa ugonjwa ambao ni very serious sana, ana mdogo wake wa kike.
Kitu ambacho kinamwiia vigumu kumuhudumia baba yake, amejarib kuomba ahamie aliko mazazi wake imekuwa mtihani anaomba likizo ya kumuuguza baba yake imekuwa mtihani, sasa hapa anawaza afanye nini maana yeye ni mtumishi wa serikalini, yeye ndo amempa baba yake kadi ya bima, mshahara ndo anaotegemea.
Naombeni msaada tumshauri ndugu yetu.
Mkuu acha sifa zakijinga uchawa haufai kwani huyo boss Ni Nani mpaka hasipatikane easilyHuo msaada angeuomba huyo ndugu yako ingependeza zaidi.
Hapa utaweka chain kuwa ndefu.
A-B-C mpaka D .
Mwambie aende TAMISEMI Dodoma akamwone dereva wa boss yeye ndo atampa connection ya uhamisho wa chap.
Madereva na walinzi ndio wenye connection, tatizo hamtusalimiagi.
SumbawangaMkuu hupo mkoa gani?
AhahahaMkuu acha sifa zakijinga uchawa haufai kwani huyo boss Ni Nani mpaka hasipatikane easily
Tujifunze kuandika kiswahili jamani. Swali lako lina maana tofauti kabisa. Yaani ni kama umemuuliza asema mkoa ambao hayuko! Ni ''UPO'' mkoa gani?Mkuu hupo mkoa gani?