tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,200
All the best ndugu tupo pamoja, naamin tutapata japo mm nimemaliza Bba in Accounting.
Pole tax mwenzangu hii coz n ya kidosho sana Mara wanasema mtu wa tax huwezi kuwa mhasibu kiukweli najutaga sana kusoma tax
Nothing happen without a reason Mkuu..usilalamike u never no kesho yako ipo vipi amin rizik yako ipo course uliosomea...Pole tax mwenzangu hii coz n ya kidosho sana Mara wanasema mtu wa tax huwezi kuwa mhasibu kiukweli najutaga sana kusoma tax
nipe no yako nikusaidie
pole sana kiongozi endelea kutafuta kazi mungu atakusaidia utapata
Acha Uoga DOGO, hata bado haujagraduate unaweweseka, Watu tuna 5 years mtaani mpaka tumekuwa sugu, kila mtu amezaliwa na bahati yake, VUTA PUMZI, KAZA BUTI UTAPATA AJIRA sooner or Later.......
Kiongozi,, una nia njema kabisa katika kufikia malengo yako ya maisha,, ila changamoto ya kazi ni kubwa sana,, wakati unaendelea kutafuta ajira,, pia endelea kuwekeza mind yako kwenye ujasiriamalio,, fikiria ni fursa gani unaweza Kuifanya na ikakuingizia kipato,,,
Nimeamua leo kuangalia nyuma na hatimaye yametimia. Mungu mkubwa.Acha Uoga DOGO, hata bado haujagraduate unaweweseka, Watu tuna 5 years mtaani mpaka tumekuwa sugu, kila mtu amezaliwa na bahati yake, VUTA PUMZI, KAZA BUTI UTAPATA AJIRA sooner or Later.......
Wewe si ulikuwa una kebehi wenzako wanaoulizia majibu ya usaili TRA? Na kujigamba kuwa uko kwenye jopo ndo mnachambua majina? Acha mbwembwe kijana.Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima kabisa.
mimi ni kijana wa miaka 23 na pia ni mhitimu mtarajiwa katika chuo cha usismamizi wa fedha (IFM) (2016), namshukuru Mungu kwa afya njema aliyonijalia kwani imenisaidia kufanya vibarua vya hapa na pale na kuendelea kuishi, lengo kuu la kuja hapa jukwaani na kuomba msaada wenu ni hali yangu ya sasa. hali yangu ya kiuchumi ni mbaya sana lakini pia natamani sana kupata fursa ya kuendeleza career yangu,
pamoja na kujaaliwa afya njema kiasi cha kumudu kufanya kibarua chochote imekua vigumu sana hata kupata kibarua ingawa natafuta kila siku iendayo kwa Mungu tena kwa bidii sana. Naweza kufanya kazi yoyote wakuu ilimradi ni kazi halali, kwa sababu nahitaji pia kupata uzoefu ntashukuru sana hata nikipata nafasi ya kujitolea bila malipo yoyote (internship au volunteering),
pia ninaweza kuisaidia organization kwenye masuala mazima ya kodi na pia uhasibu kwani nimesomea usimamizi wa kodi (bachelor in taxation) na nimefaulu vizuri (4.0 GPA) na nimefanya kazi hiyo na mamlaka husika (TRA) kwa kipindi cha miezi mitatu kama assistant tax officer.
Wakuu nina mambo mengi sana ya kuandika na pengine naweza kuishia kuwachosha, naombeni kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine ani-PM ili tuwasiliane zaidi. Natanguliza shukrani.
"FEAR GOD AND WORK HARD"
mamlaka husika (TRA) hivyo nina uzoefu pia
Mmmh mkuu umenifananisha, sijawahi na sintokuja kumkebehi mtu pitia vizuri mafaili yako.Wewe si ulimtu a una kebehi wenzako wanaoulizia majibu ya usaili TRA? Na kujigamba kuwa uko kwenye jopo ndo mnachambua majina? Acha mbwembwe kijana.