si kila alama ya uandishi ni lazima iwe katika kila mfumo wa lugha dunia nzima....alama ulizofundiswa na mwalimu wako wa darasa la kwanza na pili katika somo la mwandiko ndo hizohizo kama unataka kujua alama zingine ni jukumu lako kuzunguka madarasa ya nchi mbalimbali ili uweze jua hizo alama kwa usahihi...!!!