Nina Laptop Compaq nc6120, niki-connect kwenye power (Umeme) inastack au kuwa slow mno, nikiitoa ina-perform kawaida. Hivyo nalazimika kuicharge kwanza kisha natoa kwenye umeme na kuendelea kutumia kawaida. Naomba msaada, tatizo ni nini na nifanyaje ku-enjoy matumizi ya Laptop yangu??