C curry_atomic Member Joined Mar 30, 2020 Posts 57 Reaction score 48 Apr 10, 2020 #1 Laptop yangu ilikua inafanya kazi vizuri lakini siku za karibuni imekua inajizima ikifikia charge 80%. Tatizo linakuwa nini wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
Laptop yangu ilikua inafanya kazi vizuri lakini siku za karibuni imekua inajizima ikifikia charge 80%. Tatizo linakuwa nini wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
longola Senior Member Joined Oct 15, 2015 Posts 108 Reaction score 266 Apr 11, 2020 #2 Ua battery is abt to die Sent using Jamii Forums mobile app