noel oga JF-Expert Member Joined Oct 20, 2015 Posts 277 Reaction score 230 Jan 29, 2024 #1 Habarini, Naomba msaada najaribu kujisajili kwenye mfumo wa rrims wa latra lakin mahali napohitajik kuweka namba ya nida nikiweka inakataa je ni mtandao au kuna tatizo la kiufundi zaidi.
Habarini, Naomba msaada najaribu kujisajili kwenye mfumo wa rrims wa latra lakin mahali napohitajik kuweka namba ya nida nikiweka inakataa je ni mtandao au kuna tatizo la kiufundi zaidi.
JosM JF-Expert Member Joined Oct 11, 2008 Posts 679 Reaction score 20 Jan 29, 2024 #2 Umekosea taarifa zako za NIDA kama vile umemaliza shule mwaka gani au shule uliyosoma na mengine mengi unapaswa ujibu maswali kihusahihi
Umekosea taarifa zako za NIDA kama vile umemaliza shule mwaka gani au shule uliyosoma na mengine mengi unapaswa ujibu maswali kihusahihi