Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,144 Sep 23, 2013 #1 Wakuu Simu Yangu toka jana Nashindwa kuingia Google wala ku download chochote kile, nikiingia Google Inaniambia Web page not available, tatizo ni nini? Aina ya simu yangu ni Ideos huawei - U8150
Wakuu Simu Yangu toka jana Nashindwa kuingia Google wala ku download chochote kile, nikiingia Google Inaniambia Web page not available, tatizo ni nini? Aina ya simu yangu ni Ideos huawei - U8150
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,699 Reaction score 104,830 Sep 23, 2013 #2 Inamaana hauna network. Angalia hapo juu ktk notification bar kama kuna harama ya G H 3G au E. Kama hazipo nenda kawashe data ktk setting kuleee
Inamaana hauna network. Angalia hapo juu ktk notification bar kama kuna harama ya G H 3G au E. Kama hazipo nenda kawashe data ktk setting kuleee