Baada ya kuinstall Ubuntu skin pack kwenye laptop yanguaina ya asus, iliyokuwa na OS ya windows 8,na kuruhusu computer I restart, sijaona tena icon za desktop na wala sijaweza kufanya kitu chochote zaidi ya kupata screen saver ya Ubuntu inapokuwa idle kwa dakika mbili. Screen inakuwa nyeusi na naweza kuona kasa tu. Tatizo ni nini na nifanye nini kuondoa hali hiyo na kurecover data zangu? Asante