[h=5]Habari zenu wandugu wa tknolojia...
Naombeni msaada nimelipia domain name kwa godaddy kwa kupitia google apps tatizo ni kwamba hiyo domain name naambiwa ni naked na hitaji kuvisha nguo na pili kuilink na blog yangu ni hayo tu..:help::help::help: