Naomba msaada kwa hili kuhusu gmail.

Mtaule mgunda

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
193
Reaction score
61
Jaman wana jf naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutuma picha kwa gmail/email na pia jinsi ya ku chat kwa gmail. Naomba anielekeze.
 
Kutuma pic kwa gmail ninavyojua ukisha type e mail yako wakati unataka kutuma pic yako tafuta sehemu iliyoandikwa attach file ukicha clik hapo itakuletea mafile na utachagua file ambalo picha unayotaka kuituma ilipo utalifungua nakutafuta picha unayotaka kuituma kisha uta i attach na uta tuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…